Category: Habari Mpya
Mpango atoa pole msiba wa dada wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 17 Oktoba 2022 ameshiriki ibada ya kuaga mwili wa Bi.Grace Makalla ambaye ni Dada wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla, Ibada iliofanyika…
Serikali yatoa tahadhari dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu
Waziri wa Afya nchini Malawi alitoa taarifa kwa umma juu ya uwepo wa mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu tangu ulipothibitishwa mwezi Machi, 2022. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mganga Mkuu wa Serikali Aifello Sichalwe, imesema kuwa mlipuko umekwishaenea katika…
Majaliwa:Miradi yote iliyoanzishwa itakamilika
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kutekeleza miradi yote ya kimkakati nchini na kwamba hakuna mradi wowote utakaokwama. Amesema hayo leo Oktoba 16, 2022 wakati alipokagua maendeleo ya…
‘Fanyeni ukaguzi vilabu vya pombe vingi havina maji wala choo’
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Kila ifikapo Oktoba 15 ya kila mwaka dunia huadhimisha Siku ya Unawaji Mikono Duniani, lengo likiwa ni kuendelea kujenga ulimwengu wenye afya na kusaidia kupigana vita dhidi ya magonjwa mbalimbali ya mlipuko. Katika Halmashauri ya Jiji la…
Mwonekano daraja la JPM Mwanza
Muonekano wa maendeleo ya ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo -Busisi Mkoani Mwanza ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake, Oktoba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)