JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

TARURA waendelea na ujenzi barabara za lami nyepesi Songea

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Songea JUMLA ya sh.milioni 389.8 zimetolewa na wakala wa barabara za mijini na vijijini(TARURA),Manispaa ya Songea,kujenga ujenzi wa boksi karavati na barabara ya rami kwa kiwango chepesi 0.71cm yenye urefu wa mita 700 ikiwa ni mwendelezo wa ujenzi…

Majaliwa akutana na madudu Namtumbo, aagiza milango 10 ing’olewe

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Namtumbo na kusema Serikali haiwezi kukaa kimya huku baadhi ya watumishi wakifanya vitendo vya hovyo. “Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameleta shilingi bilioni 7 za ujenzi wa hospitali hii….

Wananchi Manispaa ya Songea waiangukia TANROADS

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Songea WAKAZI wa Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma wameiomba Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuona umuhimu wa kuharakisha ujenzi wa Barabara ya Mtwara Corrido (Songea by Pass) ambayo itasaidia kuondoa msongamano wa maroli katikati ya mji…

Sheria maalumu ya kulinda maeneo ya kilimo mbioni kutungwa

Na Munir Shemweta,JamhuriMedia, Simiyu Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde amesema serikali ipo njiani kutunga sheria maalum kwa ajili ya kilimo ili kulinda maeneo yote yanayofaa kwa kilimo katika azma yake ya kukuza sekta ya kilimo nchini. Naibu Waziri Mavunde…

Mpango atoa pole msiba wa dada wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 17 Oktoba 2022 ameshiriki ibada ya kuaga mwili wa Bi.Grace Makalla ambaye ni Dada wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla, Ibada iliofanyika…