Category: Habari Mpya
‘Maendeleo ni pamoja na kufanyika mabadiliko ya sheria ya habari’
Na Stella Aron,JamhuriMedia,Dar Wadau wa sekta ya habari wamesema kuwa ili kufikia maendeleo chanya katika sekta hiyo ipo haja ya kufanyika kwa marekebisho ya vifungu vya sheria ya habari kandamizi katika sekta hiyo. Hayo yameelezwa na Sylvester Hanga Mshauri Mfawidhi…
‘Tangu uhuru usafiri wetu ulikuwa wa mitumbwi na boti tu’
Na Muhidin Amri,JamhuriMedia,Nyasa Wakazi wa kijiji cha Ndonga, Kata ya Liwundi, Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, mkoani Ruvuma, wameishukuru Serikali kwa kujenga barabara mpya inayounganisha kijiji hicho na Njambe ambayo imesaidia kuondoa kero za muda mrefu zilizosababishwa na kukosekana kwa…
Serikali: Malaria bado ni changamoto na inaipa mzigo Serikali
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa Malaria bado ni changamoto Tanzania na unaipa mzigo mkubwa Serikali katika utoaji wa huduma za afya. Waziri Ummy amesema hayo jana jijini Dodoma wakati akifunga Mradi wa Okoa Maisha uliokua unatekelezwa katika…
Rais Samia: Mila,desturi zinawakandamiza wanawake
Rais Samia amesema Tanzania inahitaji Sheria Madhubuti kuhakikisha kuwa wanawake wanashiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo na umiliki wa rasilimali. Rais Samia ameyasema hayo leo kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Afrika WiLDAF…
Marekani, Tanzania zasherehekea mafanikio mapambano dhidi ya malaria
Balozi wa Marekani Dkt. Donald Wright na Waziri wa Afya, Mheshimiwa Ummy Mwalimu, wameshiriki katika hafla ya kusherehekea miaka mitano ya mradi wa Okoa Maisha Dhibiti Malaria (OMDM) na miaka miwili ya mradi wa Impact Malaria. Pia wamezindua miradi miwili…