Category: Habari Mpya
EBN yachimba mabwawa kusaidia wanyamapori kukabiliana na Ukame
Na Mwandishi wetu,JamhuriMedia,Babati Taasisi EBN ambayo inamiliki Kitalu Cha uwindaji katika eneo la jumuiya ya uhifadhi wa Wanyamapori ya Burunge ,imechimbwa bwawa ili kusaidia wanyamapori kupata maji. Uamuzi huo umefikiwa kutokana na Ukame unaotokana na mabadiliko ya tabia nchi umeanza…
Watoto sita wa familia moja wapatikana na Ebola Uganda
Watoto sita wa familia moja ya Kampala wamepata maambukizi ya ugonjwa wa Ebola, wamesema maafisa katika mji mkuu Kampala. Kwa wiki nne madaktari wamekuwa wakitoa wito wa hatua kali za kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi mjini Kampala. Virusi vya…
Ofisi ya Msajili Hazina yatembea na Rais, yakusanya bil.852.98/-
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma HADI kufikia Juni 30, mwaka huu Ofisi ya Msajili wa Hazina imekusanya mapato yasiyo ya kodi ambayo yanajumuisha gawio, michango ya asilimia 15 ya mapato ghafi na mapato mengineyo kiasi cha Sh. Bilioni 852.98 sawa na asilimia…
TMA yatoa ushauri wa kupanda mazao yanayokomaa muda mfupi
Na Stella Aron,JamhuriMedia,Dar MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imewashauri wakulima kupanda mazao na mbegu zinazokomaa kwa muda mfupi na zinazostahimili upungufu wa mvua kama vile mazao jamii ya mizizi, mikunde na mazao ya bustani. Ushauri huo umetolewa na…
Ndumbaro:Ni muda mzuri wa kuomba mabadiliko ya sheria ya habari
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Arusha WADAU wa habari nchini wameshauriwa kuweka nguvu za pamoja katika harakati za kutafuta mabadiliko ya sheria ya habari ambazo zimekuwa kikwazo. Ushauri huo umetolewa na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk.Damas Ndumbaro wakati akizungumza na viongozi wa…
Waliofutwa kazi kwa vyeti feki kurudishiwa NSSF zao
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Rais Samia ameridhia Watumishi walioondolewa kazini kwa kughushi vyeti kurejeshewa michango yao waliyochangiwa katika Mifuko ya Hifadhi ambayo kwa PSSSF ni asilimia tano na Kwa NSSF ni asilimia kumi ya mshahara. Hayo yamesemwa na Waziri wa Kazi,…