JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

TANESCO: Ukame waathiri mabwawa 4 ya umeme

Na Stella Aron,JamhuriMedia Kutokana na ukame unaoikumba nchi, mabwawa ya kuzalisha umeme ya Hale, Kihansi, Nyumba ya Mungu na Pangani yenye uwezo wa kuzalisha megawati 266 za umeme yamepungua uwezo wake na kwa sasa yanazalisha megawati 34 za umeme tu…

NHC kuanza kuwasaka wapangaji waliokimbia na madeni

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), limetangaza kuanza kampeni kabambe ya kukusanya madeni kwa wapangaji wa nyumba zake waliopo na waliohama ili kuhakikisha wanakusanya madeni hayo yanayofikia kiasi cha shilingi bilioni 26. Akizungumza na waandishi wa habari…

Tanzania yafanya vizuri utoaji hati za kimila

Imeelezwa kuwa Tanzania ni mojawapo ya nchi mbili kati ya 12 za Afrika zilizofanya vizuri zaidi katika utoaji wa hati za kimila za matumizi bora ya ardhi. Hayo yamebainishwa na Mratibu wa Mradi wa kitaifa Bw. Joseph Kihaule wakati wa…

Tume ya Madini yavuna bil. 178/- robo ya kwanza ya mwaka 2022-2023

Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai hadi Septemba, 2022 ambacho ni robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2022-2023, Tume ya Madini imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 178.01 kwenye…

Baraza la Madiwani Tunduru lamwangukia RC Ruvuma

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Songea Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma limeazimia kumuita mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kanali Laban Thomas kwenye kikao cha dharula ili wamueleze kero nne zinazoisumbua jamii ikiwemo ya wafugaji ambao inadaiwa kuna…