JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mgodi wa Stamigold watakiwa kuwasilisha mkakati wa ufungaji wao

Wataalam wa Wizara ya Madini wamefanya ziara katika Mgodi wa dhahabu wa STAMIGOLD uliopo wilayani Biharamulo kwa ajili ya kuangalia mpango wa ufungaji wa mgodi huo. Ziara hiyo imeongozwa na Kamishna Msaidizi anayeshughulikia Mazingira Mhandisi Gilay Shamika. Mgodi wa STAMIGOLD…

TANZIA: Mkurugenzi Utawala na Rasilimali Watu Gerald Mwanilwa afariki

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, anasikitika kutangaza kifo cha Gerald Mwanilwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, kilichotokea tarehe 2 Novemba, 2022 nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Ilazo,…

NIT yanunua ndege za kufundishia marubani

Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimenunua ndege mbili ambazo zitaanza kutumika kufundisha Marubani ndani ya nchi ili kupunguza gharama za masomo ya fani hiyo. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Prof. Zakaria Mganilwa,wakati akizungumza…

TCRA yataja changamoto zilizopo katika sekta hiyo

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt.Jabiri Bakari,amezitaja changamoto katika sekta hiyo nchini kuwa ni pamoja na uharibifu wa miundombinu ya mawasiliano. Hayo ameyasema leo Novemba 3,2022 jijini Dodoma,wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Utekelezaji wa Shughuli…

Waziri Gwajima kushiriki mkutano wa maswala ya wanawake Uturuki

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewasili nchini Uturuki katika jiji la Instanbul, na kupokelewa na mwenyeji wake Balozi wa Tanzania nchini humo Lt. Jen. Y. H. Mohamed, leo tarehe 03 Novemba,…