Category: Habari Mpya
Miili 19 yaagwa Kaitaba,Kijana aliyesadia kuokoa apewa kitita cha fedha
Majeneza yenye miili ya watu 19 waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Jumapili Novemba 6, 2022 kwa kuzama katika Ziwa Victoria, Bukoba mkoani Kagera. Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamaila ametoa kiasi cha Shilingi Milioni moja…
Majina waliofariki ajali ya ndege haya hapa
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila amesema kuwa idadi ya watu waliofariki kutokana na ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea asubuhi leo katika ziwa Victoria wakati ikitua imeongezeka na kufikia vifo vya watu 19. Amewataja walioopolewa wakiwa wamekufa…
Majaliwa awajulia hali mama na mwanaye waliokolewa ajali ya ndege
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili mkoani Kagera kushuhudia zoezi la uokoaji wa Ndege ya Shirika la Precision Air iliyopata ajali katika Ziwa Victoria, Bukoba mkoani Kageriliyopata ajali mkoani Kagera. Majaliwa amewajulia hali wahanga wa ajali wanaopata matibabu katika hospitali ya…
BREAKING NEWS:Idadi ya vifo vyafikia 19 ajali ya ndege
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila amesema kuwa idadi ya watu waliofariki kutokana na ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea asubuhi leo katika ziwa Victoria wakati ikitua imeongezeka na kufikia vifo vya watu 19. Chalamila ametoa taarifa hiyo…
Watatu wafariki ajali ya Precision Air
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kagera Issessanda Kaniki ameeleza kuwa kumetokea vifo vya watu watatu katika ajali ya ndege ya Precision Air Bukoba mkoani Kagera. Kwa mujibu wa Mganga Mkuu, wawili kati ya hao waliofariki ni wanaume na mmoja ni…