Category: Habari Mpya
LHRC yalaani matukio ya mauaji albino nchini
Kufuatia mauaji ya Mkazi wa Wilaya ya Kwimba jijini Mwanza Ndugu Joseph Mathias mwenye umri wa miaka (50),kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu,kwa kushirikiana na Chama Cha watu wenye Ualbino Tanzania na Mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu…
Kijana aliyeokoa watu ajali ya ndege Serikali ‘yamuheshimisha’
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kijana Majaliwa Jackson aliyeona ndege ikianguka na kuamua kwenda kutoa msaada wa uokoaji akabidhiwe kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na aingizwe katika Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ili apate mafunzo zaidi. Hayo…
Ugonjwa wa figo unavyogharimu maisha
Tanzania ni moja ya nchi zinazoendelea zilizoathiriwa kwa kiwango kikubwa na Magonjwa Yasiyoambukiza,kutokana na kuwaathiri watu wengi na kusababisha vifo. Mwaka huu kitaifa maadhimisho ya kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza yanafanyika mkoani Mwanza yakiwa na kauli mbiu ya Badili Mtindo…
Miili 19 yaagwa Kaitaba,Kijana aliyesadia kuokoa apewa kitita cha fedha
Majeneza yenye miili ya watu 19 waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Jumapili Novemba 6, 2022 kwa kuzama katika Ziwa Victoria, Bukoba mkoani Kagera. Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamaila ametoa kiasi cha Shilingi Milioni moja…