JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Ajali yaua watoto wawili wa familia moja Mbeya

Na Manka Damia,JamhuriMedia,Mbeya Watu wawili wamefariki dunia mkoani Mbeya na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali baada basi dogo kufeli breki katika mteremko mkali wa Mbalizi na kugonga magari mengine matatu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 9,2022, Kamanda wa…

TEF yaishauri Serikali kuwekeza katika mafunzo na vifaa vya uokoaji

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),limepokea kwa masikitiko vifo vya watu 19 waliokufa katika ajali ya ndege ya shirika la Ndege la Precision siku ya Jumapili Novemba 6, 2022. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari…

Akamatwa akiwa na mkono wa albino kwenye begi

Na Daud Magesa,JamhuriMedia,Mwanza Jeshi la Polisi mkoani Mwanza,linawashikilia watu 21 kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili akiwemo mwenye ualbino katika wilaya za Kwimba na Sengerema. Watuhumiwa hao wanadaiwa kufanya mauaji ya watu hao wawili kwa nyakati na matukio tofauti…

Polisi:Madereva msikubali kuvutwa na shetani wakati mkiendesha

Na Abel Paul,JamhuriMedia-Jeshi la Polisi Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha, Mrakibu wa Polisi SP Solomon Mwangamilo amewataka madereva kuwa makini katika matumizi ya vyombo hivyo pamoja na kufuata sheria za usalama barabarani ili kuepusha ajali za…

TCRA: Laini 52,087 zilizojihusisha na utapeli zafungiwa

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imebainisha kuwa maelfu ya namba za simu zilizojihusisha na wizi, utapeli na ulaghai kupitia Mtandao wa simu zimefungwa. Akizungumza jijini Dodoma hivi karibuni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Dkt Jabiri Bakari, amesema kuwa jumla ya…