Category: Habari Mpya
Nape:Serikali ipo tayari kupeleka mabadiliko ya sheria ya habari Bunge lijalo
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali ipo tayari kupeleka mabadiliko ya sheria ya habari bungeni baada ya kikao cha mwisho kukubaliana baadhi ya mapendekezo hayo. Akizungumza na uongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na Wadau wa Haki ya Kupata Habari (CoRI),…
Mwasa:Tangu enzi za Baba wa Taifa mila zilitumika kuomba mvua
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa ameiagiza Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira MORUWASA,kujenga uzio katika bwawa la Mindu lililopo Manispaa ya Morogoro, ili kudhibiti shughuli za kibinadamu zinazoendelea kufanyika kando mwa bwawa hilo ikiwemo kilimo. Mkuu…
Bil.20/- kulipa watumishi walioondolewa kazini kwa kughushi vyeti
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF),unatarajia kutumia kiasi cha shilingi bilioni 20 kuwalipa watumishi wa Umma waliondolewa kazini kwa kosa la kughushi vyeti Hayo yameelezwa leo Novemba 9,2022 jijini Dodoma na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa…
RC Dendego aikumbusha EWURA kusimamia maslahi ya wafanyakazi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Iringa Mkuu wa wa Mkoa wa Iringa Halima Dendego ameielekeza Menejimenti ya EWURA kushugulikia maslahi ya Wafanyakazi kwa wakati ili kuondoa malalamiko yanayoweza kujitokeza sehemu za kazi kwa lengo la kuimarisha utendaji na ufanisi wa utendaji. RC…
Washauriwa kuunganisha nguvu kukabiliana na uharibifu wa misitu
Serikali imewataka wadau wa misitu katika Halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma,kuunganisha nguvu zao katika kukabiliana na uharibifu wa misitu ili kuwa na misitu endelevu kwa ajili ya kuharakisha maendeleo na ukuaji wa uchumi nchini. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa…