JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Waziri Mhagama awataka wazazi / walezi kusimamia maadili kwa watoto

Na Maandishi wetu, JamhuriMedia, Songea Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama (Mb) Peramiho amewataka wazazi kutenga muda malezi kwa watoto ili kuwatizama na Kurekebisha mienendo yao. Kauli hiyo ameitoa mapema Leo tarehe 05/05/2024…

RC Chongolo aipa heko TANROADS, bil.5.7/- zatolewa kutatua changamoto za miundombinu Songwe

Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo ameipongeza timu ya wataalamu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kufanya kazi kwa haraka na ufanisi mkubwa kuhakikisha barabara zinapitika mkoani Songwe. Rc Chongolo ameeleza kuwa changamoto…

Tanzania yadhamiria kuwa kituo kikuu uchimbaji madini Afrika

Tanzania imeendelea kusisitiza azma yake ya kuwa kituo kikuu cha uchimbaji madini barani Afrika, kupitia hatua zake mbalimbali za kimkakati na kiujumuishi ikiwemo sera zake zinazotoa motisha kwa wawekezaji sambamba mazingira bora ya uwekezaji. Dk Steven Kiruswa, Naibu Waziri wa…

Tutazidi kuimarisha huduma za ukunga kukabiliana na vifo vitokanavyo na uzazi – Waziri Ummy

Na WAF – Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya afya imedhamiria kuendelea kuboresha huduma za Ukunga sambamba na kuongeza idadi yao ili kupunguza vifo vya watoto wa mchanga. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema hayo leo Mei 5, 2024…

Mawasiliano ya barabara ya Dar – Lindi kurejea ndani ya saa 72 – Bashungwa

na Mwandishi Wetu, JakhuroMedia, Lindi Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam,…