JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

EWURA yazishauri Mamlaka za Maji kutoa taarifa sahihi za huduma

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA), Mhandisi Modestus Lumato, amezitaka Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira nchini kuhakikisha zinatoa taarifa sahihi za huduma ya maji na usafi wa…

TCRA yawafungulia milango vijana wabunifu katika TEHAMA

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),kwa kushirikiana na taasisi zingine imeboresha mazingira rafiki kwa vijana wabunifu wa TEHAMA ili kuwarahisishia kutengeneza fursa za kukuza ubunifu na kujitengenezea ajira. Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt.Jabir Bakari amesema Serikali imeweka mfumo…

Askari wapata mafunzo ya kudhibiti wanyamapori wakali

ASKARI wanyamapori wa vijiji (VGS)37,wamehitimu mafunzo maalum ya kozi namba 18/2022 katika chuo cha mafunzo ya Uhifadhi Maliasili kwa Jamii Likuyusekamaganga wilaya ya Namtumbo mkoni Ruvuma. Akitoa taarifa ya mafunzo hayo,mkuu wa chuo hicho Jane Nyau alisema,askari hao wamepata mafunzo…

Tarangire hifadhi yenye tembo wengi wanaoishi eneo moja Afrika

Vita ya kutaka kuwinda wanyamapori baina ya makampuni yameingiza katika mgogoro Jumuiya ya Hifadhi ya Jamii ya Wanyamapori ya Burunge, Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara, baada ya Spika wa Jumuiya hiyo kutangaza Kitalu cha uwindaji kipo wazi bila ridhaa…

TAWA wakabidhi rasmi hifadhi ya Mbambabay kwa ajili ya uwekezaji

Serikali mkoani Ruvuma kwa kutambua umuhimu wa uhifadhi umewakabidhi Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) hati ya kukabidhiwa visiwa vya Lundo,Mbambabay na milima ya Mbamba na tumbi,yenye jumla ya hekari 597 kwa ajili ya uhifadhi. Mkuu wa Mkoa wa…

Serikali:Sanaa yetu inachangia kuitangaza nchi kimataifa

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema sekta ya Sanaa inamchango kubwa katika kuitangaza nchi kimataifa kupitia kazi za Sanaa zinazofanywa na Wasanii. Dkt. Abbasi amesema hayo Novemba 12, 2022 wakiwa katika ziara ya kutembelea…