Category: Habari Mpya
Biteko awapa kibarua waliohodhi maeneo makubwa ya makaa ya mawe
Mawe kwa ajili ya kuzalisha nishati Duniani na kutokana na madini hayo hivi sasa kuwa moja ya chanzo kikubwa cha mapato ya Serikali, Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ametoa muda wa miezi Mitatu (3) kwa Tume ya Madini kufanya…
Mgonjwa wa homa ‘anyweshwa’ dawa ya upele
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Morogoro Mgonjwa aliyekwenda kutibiwa homa Hospitali ya Misheni Bwagala iliyopo Turiani, Mvomero mkoani Morogoro amenusurika kifo baada ya kunywa dawa ya kutibu upele akielekezwa kuwa ni ya homa. Kisa hicho kimetokea Alhamisi ya Novemba 4, 2022 baada ya…
Ndejembi akerwa na tabia ya waajiri kuficha barua za uhamisho
Na Veronica Mwafisi,JamhuriMedia, Kigoma Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amekemea tabia ya baadhi ya waajiri katika Taasisi za Umma kuficha barua za uhamisho wa watumishi wa umma ambao Katibu Mkuu,…
Halmashauri Mji Kibaha yakadiria kukusanya bil.45/-
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha Halmashauri ya Mji wa Kibaha, Mkoani Pwani, imekadiria kukusanya sh. bilioni 45.8 kutokana na vyanzo mbalimbali vya mapato yake katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha wa 2022/2023. Akisoma taarifa ya bajeti kwenye kikao…
Serikali:Uchunguzi ajali ya ndege kukamilika ndani ya mwaka mmoja
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imetoa maelekezo kwa wataalamu wa ndani ya nchi kushirikiana na wataalamu kutoka nje ya nchi kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini chanzo cha ajali ya ndege iliyotokea Bukoba. Taarifa hiyo imetolewa leo Novemba 14,2022 jijini Dodoma…
Wanaotupa taka hovyo sasa kuanza kuzomewa Dar
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amesema licha ya uwepo wa sheria na kanuni za kuwadhibiti wachafuzi wa mazingira hususani wanaotupa taka hovyo ni vyema pia ikaenda sambamba na kuwazomea kama sehemu ya kuwafanya…