JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mgonjwa wa homa ‘anyweshwa’ dawa ya upele

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Morogoro Mgonjwa aliyekwenda kutibiwa homa Hospitali ya Misheni Bwagala iliyopo Turiani, Mvomero mkoani Morogoro amenusurika kifo baada ya kunywa dawa ya kutibu upele akielekezwa kuwa ni ya homa. Kisa hicho kimetokea Alhamisi ya Novemba 4, 2022 baada ya…

Ruvuma yakusanya bil.21/- kutokana na makaa ya mawe

Mkoa wa Ruvuma umefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 21 kutokana na madini ya makaa ya mawe katika kipindi cha mwaka 2021/2022. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas wakati anatoa salama za Mkoa,kwenye mkutano wa…

NHC kufungua milango ya uwekezaji kesho

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), linaunga mkono maono na maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuvutia uwekezaji nchini kwa kuruhusu sekta binasfi ambayo ni injini ya kuleta na kujenga uchumi wa Taifa. Katika utekelezaji huo…

TRA: Hakuna sababu ya kutumia mabavu kukusanya kodi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),imewashauri watendaji wake kuacha kutumia mabavu katika ukusanyaji kodi kwa wafanyabiashara badala yake itumie elimu ya kuwahamaisha ili kodi ilipwe bila shuruti. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam…

Naibu Waziri Ulega awataka wataalamu kuwafikia wafugaji vijijini

Na. Edward Kondela,JamhuriMedia,Arusha Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega (Mb) amesema umefika wakati wataalamu wa mifugo kujengewa uwezo ili kutoa huduma zaidi maeneo ya vijijini na kulinda usalama wa mifugo na mlaji wa mazao yatokanayo na mifugo. Naibu…

Biteko awapa kibarua waliohodhi maeneo makubwa ya makaa ya mawe

Mawe kwa ajili ya kuzalisha nishati Duniani na kutokana na madini hayo hivi sasa kuwa moja ya chanzo kikubwa cha mapato ya Serikali, Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ametoa muda wa miezi Mitatu (3) kwa Tume ya Madini kufanya…