Category: Habari Mpya
TMA: Wadau fuatilieni taarifa ya hali ya hewa hasa kipindi hiki
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi,Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (MB) ametembelea banda la Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) lililopo katika maonesho yaliyoandaliwa na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa lengo la kutangaza kazi za taasisi mbalimbali zilizopo chini ya…
Uzinduzi sera ya ubia utaongeza kasi ya maendeleo NHC,Taifa
Na Stella Aron, JamhuriMedia Serikali imeliagiza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),kusimamia imara miradi itakayoingia ubia na wawekezaji ili kutekelezwa kwa ufanisi na tija ili miradi itakayotekelezwa, itekelezwe kwa ufanisi na tija kwa taifa na mwekezaji husika. Hayo yamesemwa na…
‘Walengwa TASAF tumieni fursa ya mkopo kuboresha maisha’
Na Veronica Mwafisi,Kasulu Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amewataka walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kuendelea kuboresha maisha yao kwa kutumia fursa ya uwepo wa mikopo ya vikundi ya…
Dkt. Mpango kumwakilisha Rais tuzo za CTI
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango, anatarajaiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ugawaji wa Tuzo za Rais kwa Mzalishaji Bora wa Mwaka (PMAYA), zitakazotolewa siku ya Ijumaa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Makamu…
Waziri Mkuu aitaka NHC kushirikisha wabia wenye uwezo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kuhakikisha kuwa linachambua na kupitia kwa umakini wawekezaji watakaoleta maombi ya ujenzi wa miradi ya ubia na Shirika hilo ili kupata wawekezaji wenye uwezo wa kukamilisha ujenzi kwa viwango…