Category: Habari Mpya
Mchungaji,wanawe wawili watuhumiwa kuua mtoto wakimuombea
Na Moses Ng’wat,JamhuriMedia,Songwe Mchungaji wa Kanisa la Uinjilisti Tanzania, Julius Mwasimba (57), na watoto wake wawili wanashikiliwa Plisi mkoani Songwe wakituhumiwa kumfungia ndani mtoto (wa mchungaji) kwa siku tatu ili kumuombea. Inadaiwa kuwa kwa siku zote hizo, watuhumiwa wote watatu pamoja…
TMA yaeleza sababu za ongezeko la joto nchini
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ,imesema kutakuwa na ongezeko la joto katika baadhi ya maeneo nchini hali ambayo imesababisha kusogea kwa jua la utosi sambamba na upungufu wa mvua katika maeneo mengi hapa nchini. Kwa mujibu wa taarifa…
Vikundi vya ulinzi shirikishi vyawezeshwa mawasiliano
N .Abel Paul wa Jeshi la Polisi Vikundi vya ulinzi shirikishi katika Jiji la Arusha vimewezeshwa vifaa vya mawasiliano kwa lengo la kurahisisha mawasiliano wakati wakiimarisha ulinzi katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Arusha. Akikabidhi vifaa hivyo ambavyo ni simu…
Ndege ya ATCL yadaiwa kushindwa kutua Bukoba
Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) yadaiwa kushindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba. Mbunge wa viti maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Neema Lugangira kupita ukurasa wake katika mtandao wa Twittter amesema amepanda ndege leo asubuhi…
Mkutano Jukwaa la Uziduaji kufanyika Dodoma wiki ijayo
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Mkutano wa Jukwaa la Kitaifa la Uziduaji unatarajiwa kufanyika jijini Dodoma kati ya Novemba 24 hadi 25, 2022. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa HakiRasilimali, Adam Anthony, mkutano huo wanauandaa ili kutoa fursa kwa wadau wa sekta…
Serikali yakiri mgonjwa wa homa kunyweshwa dawa ya upele
Gazeti la JAMHURI Toleo namba 581 la Novemba 15-21, 2022 lilichapisha taarifa yenye kichwa cha habari kilichosomeka “Mgonjwa wa homa ‘anyweshwa’ dawa ya upele”. Habari hiyo ilimuhusu mwanamke (50) aliyekwenda kutibiwa homa katika Hospitali ya Misheni Bwagala iliyoko Turiani, Mvomero…