Category: Habari Mpya
Serikali kutumia Trilioni 1.2 kuboresha elimu ya sekondari nchini
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Angellah Kairuki amesema Serikali itatumia takribani Sh trilioni 1.2 katika kuboresha elimu ya sekondari nchini. Kairuki ameyasema hayo wakati wa kuzungumza na wananchi wa Kata ya Kasisi,…
Ajiteka na kuomba milioni 2,Polisi wamdaka akimwagilia moyo
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Songwe Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia Tumshukuru Kibona (30), Mkazi wa Mji mdogo wa Mlowo wilayani Mbozi kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa lengo likiwa ni kutaka kujipatia fedha. Taarifa iliyotolewa na jeshi…
Makamu wa Rais ataka viwanda viongeze uzalishaji
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Makamu wa Rais, Dk. Phillip Mpango amekabidhi tuzo kwa washindi wa Tuzo za Rais kwa Mzalishaji Bora wa Mwaka ( PMAYA) huku akisisitiza umuhimu wa viwanda vya ndani kuongeza thamani ya bidhaa ghafi . Amevitaka viwanda kuachana…
Ahukumiwa kuchapwa viboko 24 kwa kujaribu kubaka
Na Moses Ng’wat,JamhuriMedia,Songwe MAHAKAMA ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imemuhukumu kuchapwa viboko 24 mkazi wa kijiji cha Msia,Kata ya Chitete, wilayani humo Furaha Maisoni Simkonda, kwa kosa la kujaribu kumbaka mwanafunzi wa darasa la kwanza mwenye umri wa miaka…
Mchungaji,wanawe wawili watuhumiwa kuua mtoto wakimuombea
Na Moses Ng’wat,JamhuriMedia,Songwe Mchungaji wa Kanisa la Uinjilisti Tanzania, Julius Mwasimba (57), na watoto wake wawili wanashikiliwa Plisi mkoani Songwe wakituhumiwa kumfungia ndani mtoto (wa mchungaji) kwa siku tatu ili kumuombea. Inadaiwa kuwa kwa siku zote hizo, watuhumiwa wote watatu pamoja…