JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Rais Samia kuzindua mradi wa Vihenge Babati

Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kufungua mradi wa Vihenge nane mjini Babati wenye uwezo wa kuhifadhi tani 25,000 za mazao. Akitoa taarifa hiyo afisa mtendaji wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Milton…

Serikali yaonesha dhamira ya kweli mchakato wa mabadiliko sheria ya habari

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imeeleza kuendelea na mchakato wa mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ya habari na hatua inayofuata ni kufanya mapitio ya mwisho ya mapendekezo ya marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya 2016. Akizungumza katika kikao cha…

Silaha haramu kuteketezwa jijini Dar es salaam

Na. Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi nchini limesema tarehe 22 novemba mwaka Mwaka huu litateketeza silaha haramu zilizosalimishwa kwa hiari katika kampeni maalumu iliyofanyika nchi nzima kuanzia septemba 01 mwaka hadi October 31 mwaka huu iliyokuwa…

CCM yafuta uchaguzi baadhi ya mikoa nchini, yaagiza uchunguzi kufanyika

Katibu Mkuu wa Chama Chama Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo kwa dhamana ya kuwa Mkurugenzi Mkuu waUchaguzi wa ndani ya chama unaoendelea huku ukifikia ngazi za mikoa chama na jumuiya, ametangaza kufuta uchaguzikatika baadhi ya maeneo, kusimamisha mchakato wa uchaguzi na…

Serikali: Jengeni mahusiano mazuri na jamii zilizoko karibu na migodi

Kamishna wa Madini Dkt. Abdulrahman Mwanga amebainisha kuwa, wajibu wa Kampuni za Madini katika jamii (CSR) unapaswa kutekelezwa na wamiliki wa migodi ili kujenga mahusiano mazuri na wananchi wanaozunguka maeneo ya migodi. Amesema hayo Novemba 21, 2022 katika kikao cha…

Ofisi ya Waziri Mkuu kushiriki maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha

Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kupitia Idara ya Hifadhi ya Jamii itashiriki katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha ambayo kitaifa yatafanyika Mkoani Mwanza, kuanzia Novemba 21 hadi 26, 2022. Hayo ameeleza Mkurugenzi…