Category: Habari Mpya
Mwakibete mgeni rasmi uzinduzi TTMOA
Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Naibu Waziri wa ujenzi na Uchukuzi Atupele Mwakibete, anatarijiwa kuwa mgeni Rasmi katika uzinduzi wa Chama Cha Wamiliki wa Matipa na Mitambo Tanzania ( TTMOA) Novemba 25 mwaka huu Jijini Dar es Salaam. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti…
Tume ya utumishi ya Mahakama yakutana na kamati za maadili Shinyanga
Tume ya Utumishi ya Mahakama imekutana na wajumbe wa kamati za maadili ngazi ya Mkoa na wilaya mkoani Shinyanga, kujadili maadili na utoaji haki kwa wananchi. Mkutano huo umefanyika leo Novemba 22, 2022 katika ukumbi wa mikutano Mahakama kuu ya…
Kasi ndogo ujenzi wa madarasa yamchefua Kairuki
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Tabora Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki ameonesha kukerwa na kasi ndogo ya ujenzi wa madarasa katika Mkoa wa Tabora. Kairuki amekutana na kadhia hiyo leo wakati wa…
Mwanaume afariki ndani ya bwawa Njombe
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 mpaka 35 amekutwa amefariki katika bwawa dogo lililopo katika msitu wa Tanwat eneo la Kibena Mjini Njombe. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo ambao ni walinzi katika…
Bodaboda kizimbani akituhumiwa kumbaka binti yake wa miaka 11
Dereva wa bodaboda Idrisa Said Bayaga (32) wa kituo cha waendesha pikipiki cha Nyerere Mtaa wa Kawajense Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi, amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kushiriki tendo la ndoa na mtoto wake mwenye umri wa 11. Mtuhumiwa…
Ujenzi daraja la kisasa Jangwani kuandika historia mpya
SERIKALI imesaini makubaliano na Benki ya Dunia ya Mkopo Nafuu wa sh. Trilioni 1.24 kwa ajili ya miradi ya umeme vijijini na ujenzi wa uendelezaji wa bonde la Mto Msimbazi utakaohusisha daraja la kisasa la Jangwani. Ujenzi wa daraja la…