Category: Habari Mpya
Kwa mara ya kwanza upasuaji wa kurekebisha valvu ya moyo wafanyika kwa mtu mzima
Kwa mara ya kwanza upasuaji wa kurekebisha valvu za moyo kwa watu wazima umefanyika kwa mgonjwa ambaye valvu yake ya moyo ya upande wa kushoto ilikuwa ikivujisha damu (severe mitral regurgitation). Upasuaji huo umefanywa hivi karibuni na madaktari bingwa wa…
Madaktari bingwa wa Rais Samia watasaidia kupunguza vifo vya watoto wachanga
Na WAF – Iringa Mpango kabambe wa madaktari bingwa wa Dkt. Samia utasaidia kupunguza vifo vya watoto wachanga kwa kuwajengea uwezo watoa huduma wengine katika Hospitali za Halmashauri kwa kuwa dhamira ya Serikali ni kuwa na wodi maalum za watoto…
Waziri Mkuu: Wakuu wa mikoa simamieni utashi wa Rais Samia
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa nchini waakisi utashi wa kisiasa wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia na kutekeleza mapendekezo yote yaliyotolewa na Tume ya Haki Jinai. “’Utashi wa kisiasa wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu…
Usahihi wa utabiri wa TMA wafikia asilimia 86, WMO yaiamini yaipa majukumu mazito
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeendelea na utoaji wa huduma, kudhibiti na kuratibu shughuli za hali ya hewa nchini. Hayo yamebainishwa leo bungeni na Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa wakati akisoma…
ATCL kupeleka marubaini wake kufundisha Nigeria
KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL), imeingia makubaliano ya kupeleka marubani wake kufundisha na kusimamia ndege mpya za Airbus A220 za Kampuni ya Ndege ya Ibom nchini Nigeria. Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Ladislaus Matindi alisema hayo jana Dar es Salaam na…
Kisukari, shinikizo la damu tishio kwa Watanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imesema magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu ni kati ya magonjwa 10 yanayowasumbua zaidi Watanzania. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alisema hayo mwishoni mwa wiki baada ya kufanya mazoezi…