JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

IGP Wambura afanya ziara nchini Thailand

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camilius Wambura amefanya ziara chini Thailand na kutembelea kituo cha simu za dharura jijini Bangkok kinachohusika na kupokea, kuchakata na kusambaza taarifa za Uhalifu, Wahalifu na Majanga mbalimbali. IGP Wambura akiwa ameambatana na…

Waziri Mbarawa aeleza ripoti ya awali, uchunguzi ajali ya ndege ya Precision

Waziri wa ujenzi na Uchukuzi,Prof. Makame Mbarawa leo ametoa taarifa ya awali ya uchunguzi wa ajali ya ndege ya Precision iliyopata ajali Bukoba na kuua watu 19, ambapo ameeleza mambo mbalimbali yaliyobainika katika ripoti hiyo ya awali Akisoma ripoti hiyo…

BoT yawatolea macho wanaojihusisha na ukopeshaji bila leseni

Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kuwa imebaini uwepo wa baadhi ya taasisi, kampuni na watu binafsi wanaojihusisha na biashara ya kutoa mikopo bila ya kuwa na leseni, jambo ambalo ni kinyume na Kifungu cha 16(1) cha Sheria ya Huduma…

Mwalimu auawa akiitiwa ‘mwizi’

Aliyekuwa Mwalimu wa shule ya msingi Livingstone Erick Mbilinyi Mkazi wa Mtaa wa Mgendela Halmashauri ya Mji wa Njombe ameuawa na watu wenye hasira kali baada ya kupigiwa makelele ya “mwizi”. Baadhi ya Waombolezaji pamoja na majirani waliohudhuria msibani na…

Moto wateketeza bweni, waua watoto wenye ulemavu watatu Shinyanga

Bweni la kituo cha kulelea watoto wenye ulemavu cha Buhangija limeteketea kwa moto na kusababisha vifo vya wanafunzi watatu wa kike wenye ulemavu wa macho Mkoani Shinyanga. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi amesema…

Tanzania, Oman kushirikiana katika sekta ya mawasiliano

Tanzania na Oman zameweka mikakati ya ushirikiano katika sekta ya Mawasiliano, Habari na Teknolojia ambapo nchi hizi mbili zinaweza kutumia vyombo vyake vya habari kuhabarisha umma katika masuala mbalimbali ya kijamii, kutangaza tamaduni na kubadilishana ujuzi wa teknolojia. hayo yamebainishwa…