JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Ilala yafikisha asilimia 104.5 ya ukusanyaji mapato

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Kodi Ilala imetoa zawadi mbalimbali na shukrani katika kituo cha watu wenye Mahitaji Maalum cha Missionary Charity Nyumba ya amani na furaha ili kusaidia shughuli zinazoendelea katika kituo hicho. Akizungumza leo jijini Dar…

Serikali yakabidhi hati za kimila 305

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imekabidhi hati miliki za kimila 305 kwa wananchi wa vijiji vya Haubi na Mafai wilayani Kondoa ikiwa ni sehemu hya utekelezaji wa Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza Usalama wa Chakula katika Maeneo kame nchini…

Makala: Tusafishe mitaro mvua zimeanza kunyesha

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makala amewataka wakazi wa mkoa huo kuhakikisha wanafanya usafi wa mara kwa mara katika maeneo yao Ili watalii na wawekezaji waone Mkoa huo unang’aa. RC Makala ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza…

Wajitokeza kupata elimu ya sekta ya Hifadhi ya Jamii

Wakazi wa mkoani Mwanza na maeneo ya jirani ya mkoa huo wamejitokeza kwa wingi kupata elimu ya Sekta ya Hifadhi ya Jamii kwenye banda la Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi Vijana Ajira na Watu Wenye Ulemavu ambapo kupitia Idara ya Hifadhi…

Serikali yajipanga kutatua changamoto zinazokabili huduma ya malezi ya kambo na kuasili.

Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imesema ipo katika mchakato wa kupitia upya Sera na taratibu zilizipo kwasasa ili kuweka utaratibu mzuri utaowezesha kupunguza changamoto katika zoezi la Kuasili na Malezi ya Kambo kwa…

Miili Watoto watatu waliofariki kwa ajali ya moto yaagwa leo Shinyanga

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Sophia Mjema leo ameongoza shughuli ya kuaga miili ya watoto watatu wasioona waliofariki kwa  ajali ya moto ulioteketeza bweni katika shule ya msingi Buhangija Manispaa ya Shinyanga na kusababisha vifo vya watoto hao. Shughuli ya…