Category: Habari Mpya
Wagonjwa 105 wagundulika kuwa na maambukizi ya COVID-19 Tanzania
Mtaalam na mbobezi wa masuala ya chanjo kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt.Caroline Akim amesema hadi kufikia Novemba 25 ,mwaka huu,Tanzania ilikuwa na wagonjwa wapya 105 waliogundulika na maambukizi ya Covid19. Ameeleza kundi la vijana wengi wao hawajachanja kwa…
TEF:Mchakato wa mabadiliko ya sheria ya habari una matumaini chanya
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),Deodatus Balile, amesema mchakato wa mabadiliko ya sheria ya habari una matumaini chanya baada ya Serikali kuchukua hatua na kuhakikisha kukamilisha mchakato huo. Balile amesema kuwa kwa hatua hiyo wadau wa…

Ziwa Nyasa kutumika kama ziwa Victoria
Na Albano Midelo,JamhuriMedia,Ruvuma Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA nchini Mhandisi Clement Kivegalo amesema yeye ndiye aliyesimamia mradi mkubwa wa maji kuyatoa ziwa Viktoria na kuyapeleka kwenye mikoa yenye uhaba wa maji Amesema mradi kama huo unaweza kufanyika katika ziwa Nyasa na kupunguza…
Mabula:Serikali inathamini mchango unaotolewa na taasisi za dini
Serikali inatambua na kuthamini mchango mkubwa unaotolewa taasisi za dini katika shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo miradi mingi ya kijamii inayosimamiwa na mashirika ya kidini hususani sekta ya afya, elimu na maji . Hayo yamesemwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba…