JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Anne Makinda kutunuku wahitimu 291 HKMU

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia SPIKA Mstaafu ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU), Anne Makinda anatarajiwa kuwatunuku wahitimu 291 wa masomo mbalimbali kwenye mahafali ya 20 ya Chuo hicho. Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Yohana Mashalla, amesema…

Uganda yaja kujifunza namna Tanzania ilivyofanikiwa sekta ya mawasiliano

Tanzania imeihakikishia Uganda kuwa itaendelea kuipa ushirikiano katika kujenga uwezo wa usimamizi wa sekta ya Mawasiliano na TEHAMA, sambamba na kudumisha ushirikiano wa kitaalam katika usimamizi wa sekta hizo. Akizungumza wakati alipoukaribisha ujumbe wa Tume ya Mawasiliano Uganda (UCC), ukiongozwa…

Ajali yaua watatu Singida

Watu watatu wamefariki na mmoja kujeruhiwa katika ajali iliyotokea Maonyoni mkoani Singida katika Kijiji cha Kitopeni Halmashauri ya Itigi wilayani Manyoni mkoani Singida, huku mmoja akipatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya Mtakatifu Gaspar Itigi. Kamanda wa Polisi mkoa wa…

Tanzania kunufaika na mpango wa usimamizi endelevu wa rasilimali za bahari

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga leo amefungua warsha ya Mafunzo ya Kikanda kuhusu Mpango wa Matumizi ya Eneo la Bahari (Marine Spatial Planning – MSP) na Ukanda wa Pwani ya Magharibi mwa Bahari ya Hindi…