Category: Habari Mpya
Idadi ya wagonjwa yaongezeka Mlongazila
Idadi ya wagonjwa wanaofika kupata huduma ya matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imeongezeka kutoka 10854 kufikia 11188 kwa wagonjwa wa nje wakati wagonjwa wanaolazwa 793 hadi 1052 katika kipindi cha miezi miwili kuanzia Septemba hadi Novemba mwaka huu….
Rais Samia atunukiwa udaktari wa heshima UDSM
Na Wilson Malima Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya juu heshima ya udaktari katika fasihi ‘Doctor of Letters. Honoris Causa ‘ ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika mahafali ya 52 duru…
Hakimu adaiwa kujiua gesti
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa linafanya uchunguzi kufuatia Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kasanga Michael Royan(31), kudaiwa kujiua kwa kunywa sumu katika nyumba ya kulala wageni.katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani humo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Theopista Mallya…
‘Sambazeni waraka wa adhabu za viboko shuleni walimu, wanafunzi wauelewe’
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima ameiomba Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuusambaza waraka wa adhabu za viboko shuleni wa mwaka 2002 ili walimu na wanafunzi wauelewe. Waziri Gwajima amesema hayo wakati…
Majaliwa ataka umakini manunuzi ya vifaa vya ujenzi wa miradi
…………………………………………………………………………………. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Halmashauri nchini kuongeza umakini katika manunuzi ya vifaa vinavyotumika katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo yao ili iweze kukamilika katika muda uliopangwa na kutoa huduma kwa wananchi. Ametoa wito huo leo (Jumanne,…