JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

TARURA Ruvuma yafungua barabara na madaraja

Na Albano Midelo,JamhuriMedia, Ruvuma Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Ruvuma imefanikiwa kujenga madaraja mawili yenye thamani ya shilingi bilioni 1.3. Meneja TARURA Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Wahabu Nyamzungu amesema serikali imetoa shilingi milioni 900 kujenga…

Viziwi wataka wakalimani hotuba za Kitaifa

Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kimeiomba Serikali kuweka wakalimani wa lugha ya alama katika matukio muhimu ya kitaifa ili kulijumuisha kundi hilo katika michakato muhimu ya maendeleo. Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu…

Mahafali ya 16 MUHAS wahitimu 1389 watunukiwa vyeti

……………………………………………………….. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdor Mpango amewatunuku vyeti wahitimu elfu moja mia tatu themanini na tisa(1,389) wa ngazi mbalimbali katika chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi (muhus) huku kati yao wahitimu…

Simba mbele kwa mbele

Klabu ya Simba imefanikiwa kuondoka na alama tatu mbele ya Costal Union Fc baada ya kuitandika mabao 3-0 mchezo  ambao ulipigwa kwenye dimba la Mkwakwani mkoani Tanga. Simba Sc ililazimishwa sare katika kipindi cha kwanza licha ya kukosa nafasi nyingi…

Askari waliotimiza miaka 22 kazini watoa msaada kituo cha watoto yatima

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha waliotimiza miaka ishirini na mbili kazini wametoa msaada katika kituo cha faraja Orphanage kilichopo shangalai wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha ikiwa ni mchango wao…