Category: Habari Mpya
Shaka ashikwa na butwaa, mwenyekiti adaiwa kuuza mlima wa ekari 1128 kwa milioni 20
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilosa Jeshi la Polisi wilayani Kilosa limewatia mbaroni watu wawili akiwemo Mwenyekiti wa Kitongoji cha Msowero A, Petro Sanga (Paroko) mwenzake, Awadh Ngajime kwa tuhuma za kuuza eneo la mlima, mali ya kijiji cha Msowero wilayani…
Serikali yaipa TANROADS bil.6.5/- kukabiliana na athari za mvua za El Nino Rukwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rukwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka kiasi cha shilingi bilioni 6.5 kwa ajili ya matengenezo ya dharura ya kurejesha miundombinu ya barabara na madaraja ambayo yameharika kutokana na…
Serikali kuwakopesha wajasiriamali bilioni 18.5/- kupitia NMB
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imetenga kiasi cha Shilingi bilioni 18.5 kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali nchini zitakazotolewa kama mikopo yenye masharti nafuu kupitia Benki ya NMB. Makubaliano ya utaratibu wa ufadhili huo yalitiwa saini leo jijini…
Waziri Dk Gwajima azindua NMB Kikundi Akaunti yenye Bima ya Maisha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BENKI ya NMB imeitambulisha akaunti mpya ya kidijitali kwa ajili ya vikundi mbalimbali vya kijamii iitwayo ‘NMB Kikundi Account,’ iliyozinduliwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, ambayo inajumuisha…