Category: Habari Mpya
Tanzania na Comoro kuimarisha ushirikiano zaidi sekta ya afya
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Comoro nchini Tanzania Dkt. Ahamada El Badaoui kujadili namna ambavyo nchini hizo zinaweza kushirikiana katika maendeleo ya Sekta ya Afya. Katika mazungumzo yao…
Ndumbaro:Vita ya rushwa bado ni kubwa
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewaonya Watumishi wa umma wanaoendekeza Vitendo vya Rushwa katika utekelezaji wa majukumu yao hususani katika kuwahudumia wananchi. Onyo hilo amelitoa leo wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu…
Watembea Km 12 kufuata huduma ya maji
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Wakazi wa kijiji cha Makuka Halmashauri ya Wilaya Iringa mkoani Iringa,wanalazimika kutembea zaidi ya km 12 hadi kijiji cha Izazi kufuata huduma ya maji kwa ajili ya matumizi yao ya kila siku. Wameiomba Serikali kupitia wakala wa…
Mkenda: Mwamko wa kufanya mageuzi ya elimu ni ajenda ya duniani
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ,amesema mwamko wa kufanya mageuzi ya elimu ni ajenda iliyopo duniani na kwamba Tanzania imewahi kuanza mageuzi hayo. Hayo ameyasema leo Desemba 6,2022 jijini Dodoma wakati wa Mkutano…
Ndejembi awataka waajiri kuwatumia wataalamu wenye sifa
Naibu waziri wa ofisi ya Rais utumishi wa umma na utawala bora, Deogratius Ndejembi amewataka waajiri kote nchini kuhakikisha wanawaweka watu wenye sifa za kusimamia idara za ununuzi na Ugavi ili shughuli hizo ziweze kufanyika kwa weledi na utalaamu mkubwa….
Polisi waungana na jamii ya wafugaji kupinga vitendo vya ukatili
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema litaendelea na mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto kwa kuhakikisha wanaibua na kuwachukulia hatua watu wote wanaojihusisha na vitendo hivyo. Hayo yamesemwa na…