JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Chuo cha Bahari DMI chaomba miundombinu yake ikarabatiwe

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Chuo cha Bahari Dar es Salaam, (DMI), kimeomba serikali ikipatie meli ya mafunzo kwaajili ya kuwaongezea ujuzi wahimu wa mafunzo chuoni hapo na kimeomba miundombinu ya chuo hicho ikarabatiwe ili kwenda na wakati. Ombi hilo limetolewa na…

Dawa za kulevya kilo 16.643 zakamatwa, wasanii wanaohamasisha kuchukuliwa hatua

Na Mussa Augustine. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya( DCEA) imefanikiwa kukamata jumla ya kilo 16.643 za dawa ya kulevya zikijumuisha kilo 15.19 za heroin,gramu 655.73 za Cocaine na gramu 968.6e7 za Mathamphetamine zilizowahusisha jumla ya Watuhumiwa…

Wawili wafungwa maisha jela kwa ulawiti na mwingine miaka 33 kwa ubakaji Pwani

Mwamvua Mwinyi, Pwani Watu watatu waliojihusisha na vitendo vya ulawiti na ubakaji Mkoani Pwani wamehukumiwa kifungo cha maisha na mwingine miaka 33 jela. Hayo yalisemwa na kamanda wa Polisi Mkoani Pwani ACP Pius Lutumo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari…

Mwisho wa zama

Mwisho wa zama, ndivyo unavyoweza kusema baada ya mshambuliaji wa Real Madrid na Ubelgiji, Eden Hazard, kustafuu kuitumikia timu yake ya taifa ya Ubelgiji.  Hazard na mastaa wengine kama Kevin De Bruyne na Romelu Lukaku wameshindwa kuipa mafanikio timu yao…

Serikali kuwasilisha bungeni mabadiliko ya vipengele tata vya sheria ya habari

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia SERIKALI inajiandaa kuwasilisha bungeni mabadiliko ya vipengele vya Sheria ya Habari ili wabunge wakiridhia, utekelezaji wake ufanyike. Hayo yamesemwa na msemaji wa Serikali Gerson Msigwa, wakati akifungua mkutano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini (UTPC),…

Tanzania na Comoro kuimarisha ushirikiano zaidi sekta ya afya

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Comoro nchini Tanzania Dkt. Ahamada El Badaoui kujadili namna ambavyo nchini hizo zinaweza kushirikiana katika maendeleo ya Sekta ya Afya. Katika mazungumzo yao…