JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Filamu ya The Royal Tour yatajwa kuleta ushawishi wa kitalii nchini

Filamu ya ”The Royal Tour”ambayo imetajwa kuleta ushawishi wa Kitalii nchini.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan,Tuzo ya kimataifa ya kuwa muongoza watalii bora nchini kutoka Taasisi ya Kimataifa ya International Iconic Award ya nchini India. Akizungumza…

DC Mgema:Vita ya kugombania maji inakuja

Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Ruvuma MKUU Wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Pololet Mgema ameitaja vita kubwa na mbaya ambayo inakuja ni ya kugombania maji. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba Wilaya ya…

Mkoa wa Pwani unajivunia miradi mikubwa tangu Uhu

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia, Pwani Mkoa wa Pwani unajivunia uwekezaji mikubwa ya kimkakati ambayo italeta Mapinduzi makubwa tangu Uhuru mwaka 1961 ikiwemo Reli ya kisasa (SGR) inayopita Mkoani humo kwa kipande kinachoanzia Dar es salaam -Morogoro chenye km.300. Mradi mwingine ni…

Mambo ya Ndani yataja mafanikio ya miaka 61 ya Uhuru

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetaja mafanikio ambayo imeyapata katika kipindi cha miaka 61 ya uhuru wa Tanzania Bara huku ikiahidi kushirikiana na wizara nyingine katika kuhakikisha amani, usalama wa raia na mali zao vinalindwa ili kuiwezesha nchi…

Ujenzi kituo cha kupoza umeme Ifakara kukamilika Machi 2023

Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme cha Ifakara umefikia asilimia 80.1 na unatarajiwa kukamilika mwezi Machi, 2023 ambapo mpaka sasa tayari transfoma ya kisasa imeshawekwa na kituo kitatoa njia nne za umeme ambazo zitapeleka umeme kwenye maeneo mbalimbali….

Naibu Waziri asema DM ni muhimu kwa uchumi wa buluu

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeahidi kuzifanyia kazi changamoto mbalimbali zinazokikabili Chuo ch bahari Dar es Salaam (DMI). Ahadi hiyo ilitolewa jana na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Atupele Mwakibete, wakati wa mahafali ya 18 ya chuo…