Category: Habari Mpya
Nguvu ielekezwe kudhibiti upitishaji dawa za kulevya bandari bubu – Mzava
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa (2024) Godfrey Mzava ,ametoa wito kwa Jeshi la Polisi Mkoani Pwani ,kuongeza nguvu ya doria kwenye bandari bubu zilizopo kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi katika ukanda…
Polisi Arusha yawapa tano wananchi waliofanya maboresho ujenzi kituo cha Polisi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha litaendelea kuwashukuru wananchi wanaoendelea kushiriki katika jitihada za Serikali katika kuboresha mazingira bora na ya kisasa katika vituo vya Polisi mkoani humo huku likibainisha kuwa litaendelea kutoa huduma bora…
Watu 400 wakosa mahala pa kuishi baada ya nyumba zao kujaa maji, kubomoka Ifaraka
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Morogoro Watu zaidi ya 400 wanaoshi Kata za Viwanja Sitini, Kibaoni, Mbasa na Katindiuka, Halmashauri ya Ifakara Mji wilayani Kilombero, mkoani Morogoro wamekosa makazi baada ya nyumba zao kujaa maji na nyingine kubomoka kufuatia mvua kubwa iliyonyesha…
‘Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati safi ya kupikia itapunguza vitendo vya ukataji miti’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati safi ya Kupikia wa Mwaka 2024 – 2034 kwa kiasi kikubwa utasaidia kupungua kwa vitendo vya ukataji wa miti kwa kupunguza matumizi ya nishati itokanayo na…
Luteni kanali mstaafu Songea aliyesoma na Idd Amini afariki
–Alishirikiana na Samora Machel kuikomboa Msumbiji Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Tanzania haitamsahau Dikteta Idd Amini Dada aliyeitawala Uganda kwa mabavu kisha kuvamia Tanzania mwaka 1978 ambapo Tanzania iliingia vitani na kufanikiwa kumng’oa mvamizi huyo mwaka 1979. Luteni Kanali Mstaafu…