JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Waziri Mabula asherehekea sikukuu kwa kukabidhi zawadi

Na Hassan Mabuye,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula amesherekea siku kuu ya Krisimasi na wagonjwa kwa kula nao chakula pamoja na kukabidhi zawadi za Krisimasi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Waziri…

Polisi:Disko toto marufuku kipindi hiki cha sikukuu

Kuelekea msimu wa sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limepiga marufuku kuwepo kwa Disko toto huku likiagiza kufungwa kwa baa zote baada ya saa sita usiku, isipokuwa zile zenye vibali maalum. Akizungumzia hali ya…

Ummy:Kumekuwa na ongezeko la magonjwa ya mfumo wa njia ya hewa

Ndugu Wananchi, tukiwa katika msimu wa Sikukuu za Krismasi na Mwaka mpya, Wizara ya Afya inawatakia wananchi wote Heri ya Krisimasi na Mwaka Mpya 2023.   Kama tunavyofahamu Mtu ni Afya, hivyo nitumie fursa hii pia kuwakumbusha wananchi kuchukua hatua za…

Dhamira njema ya Rais Samia itamaliza kiu ya wanahabari

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Dhamira njema inayoonyeshwa wazi Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ni wazi kuwa itafanikisha kiu ya mchakati wa mabadiliko ya sheria ya habari nchini. Hatua hiyo inatokana na wasaidizi wa Rais Samia…

‘Tufanye mazoezi ili kuisaidia nchi kuondokana na ongezeko la magonjwa’

Na Mathias Canal,JamhuriMedia,Kilimanjaro Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Pauline Gekul amewataka wakazi wa Jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro na Watanzania wote nchini kushiriki kikamilifu katika michezo ili kujenga mwili na kuepukana na magonjwa yasiyo ambukiza ambayo kwa sasa…