JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Kairuki awataka machifu kuhimiza jamii kulinda miradi ya maendeleo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Same Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki amewataka machifu ambao ni viongozi wa kimila kuhamasisha jamii kulinda miundombinu ya miradi ya maendeleo. Waziri Kairuki ametoa wito huo wakati akisimika…

KM 32 Wilyani Kyela kujengwa kwa lami

Serikali imesema itaendelea kutekeleza Sera yake ya kuunganisha mkoa kwa mkoa na wilaya kwa wilaya kwa barabara za lami ili kurahisisha usafiri na usafirishaji wa abiria, mazao na malighafi mbalimbali ili kukuza uchumi kwa haraka. Akizungumza wilayani Kyela wakati wa…

Ruvuma yakusanya mapato kwa asilimia 110

Mkoa wa Ruvuma umeweza kukusanya mapato kwa asilimia 110.8 katika mwaka 2021/2022.  Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema katika kipindi hicho Halmashauri zote nane zimeweza kukusanya mapato ya zaidi ya shilingi bilioni 21 kati ya lengo la…

Majaliwa amwakilisha Rais Samia kumjulia hali Lowasa

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt.Samia Hassan Sululu kumjulia hali Waziri Mkuu Mtsaafu Edward Ngoyai Lowassa anayeendelea na matibabu Afrika Kusini. Akizungumza na wana familia kwa niaba ya Rais Samia, Waziri Mkuu amewasilisha salamu za pole kutoka kwa rais na…

Mali za mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola dos Santos zashikiliwa

Mahakama ya Juu ya Angola imeamuru kuwekewa”kizuizi” kwa mali zenye thamani ya karibu dola bilioni 1 zinazomilikiwa na Isabel dos Santos, binti wa rais wa zamani wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, shirika la habari la Lusa la Ureno…

Waliomzika mtoto akiwa hai wapandishwa kizimbani

Watu watatu akiwemo mama mzazi wa mtoto Zawadi Msagaja (20) na mkazi wa kijiji cha Mahaha wilayani Magu mkoani Mwanza, wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kike kwa kumzika akiwa hai ili wapate mali. Wengine waliofikishwa katika…