Category: Habari Mpya
Mabula apiga marufuku shughuli za kibinadamu maeneo ya hifadhi Lindi
Na Munir Shemweta,JamhuriMedia,Lindi Waziri wa ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt.Angeline Mabula amepiga marufuku ufanyaji shughuli za kibinadamu katika maeneo ya hifadhi ya msitu wa Nyengedi na Pori la Akiba la Selous mkoani Lindi. Dkt.Mabula alipiga marufuku hiyo Desemba 29,…
Serikali:Hakutakuwa na uhamisho kutoka shule za kutwa kwenda za bweni
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Prof. Riziki Shemdoe amesema hakutakua na uhamisho wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwenye shule za kutwa kuhamia bweni. Shemdoe ametoa agizo hilo…
Polisi yatoa onyo kwa madereva wanaoendesha wakiwa wamelewa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewaonya madereva wanaoendesha vyombo vya moto wakiwa wamelewa katika Mkoa wa Arusha kwani sheria itafuata mkondo wake. Hayo yamesemwa na Mkuu wa kikosi cha usalama Barabarani Mkoa wa Arusha mrakibu wa Polisi SP Solomon…
Waziri Jafo awataka wananchi kutunza miradi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo amewataka wananchi kutunza miradi inayotekelezwa na Serikali ili iweze kuwanufaisha katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Ametoa wito huo wakati akizindua miradi ya visima…
Ruvuma yakamilisha ujenzi wa madarasa 156
Na Albano Midelo,JamhuriMedia,Ruvuma Serikali mkoani Ruvuma imekamilisha mradi wa ujenzi wa madarasa 156 pamoja na samani zake katika shule za sekondari yaliyogharimu shilingi bilioni 3.1. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa…
Waziri Ummy afanya ziara ya kushtukiza Hospitali ya Mwananyamala
Katika muendelezo wa ziara za kushtukiza, Waziri wa Afya,Ummy Mwalimu leo amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwananyamala kukagua utoaji wa huduma, kusikiliza, kero, ushauri na maoni ya wananchi wanaopata huduma za matibabu katika Hospitali…