JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wizara ya Ardhi yakusanya bil.90/- za kodi ya pango la ardhi

Wizara ya ardhi,nyumba na maendeleo ya makazi imekusanya jumla ya kiasi cha shilingi bilioni 90,907,939,421 sawa na asilimia 75 ya malengo ya nusu mwaka kutokana malimbikizo walikuwa wanadaiwa wananchi ambao walisamehewa riba za malimbikizo ya Kodi za majengo na ardhi….

EWURA yatangaza kuongezeka kwa bei ya dizeli

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano, Januari 4, 2023 huku bei ya dizeli ikiendelea kupaa. Katika taarifa hiyo iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Modestus Lumato imeonyesha…

Pwani yadhamiria kufungua mtandao wa barabara zaidi

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani,alhaj Abubakar Kunenge ameeleza nia ya mkoa huo ,ni kuendelea kufungua mtandao wa miundombinu bora ya barabara inayoakisiana na kasi ya uwekezaji iliyopo mkoani humo. Aidha ameeleza, nia ya mafanikio hayo itawezekana endapo…

Biteko asisitiza wachimbaji kuzingatia sheria

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Geita Waziri wa Madini,Dkt.Doto Biteko amewasisitiza wachimbaji wa madini nchini kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo inayosimamia Sekta ya Madini ili wachimbe rasilimali hiyo kwa manufaa ya wachimbaji na jamii kwa ujumla. Dkt.Biteko amesema hayo Januari 3, 2023…

DC Moyo apiga marufuku kampuni za ulinzi kuajiri wasiopitia mafunzo

Na Fredy Mgunda,JamhuriMedia,Iringa Serikali ya Wilaya ya Iringa imezitaka kampuni za ulinzi kuajiri wafanyakazi waliopitia mafunzo ya kijeshi ili kuboresha ufanisi wa kazi katika sekta ya ulinzi wa mali za UMMA, serikali,watu binafsi na mashirika binafsi. Akifunga mafunzo ya jeshi la…