Category: Habari Mpya
Serikali kufuatilia video ya mhudumu wa afya Tabora iliyosambaa mtandaoni
Kufuatia kusambaa kwa video fupi katika mitandao ya kijamii ikimuonyesha mhudumu wa afya akijibizana na mwenzake, huku mmoja akipinga matumizi ya vifaa tiba vilivyokwisha muda wake wa matumizi. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa taarifa kuhusu video hiyo kuwa Timu…
Rais Samia afanya uteuzi, Kafulila apewa Ukamishna (PPP)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi leo Januari 5, 2023 kama ituatavyo Amemteua Dkt. Ellen Mkondya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili. Dkt. Mkondya ni Mkurugenzi Mtendaji wa…
Bunge la Januari kuleta mwanga wa matumaini kwa wadau wahabari
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Wadau wa sekta ya habari nchini wanamatarajio makubwa ya mswada wa mabadiliko ya sheria ya habari kusomwa katika Bunge linalotarajia kuanza mwishoni mwa mwezi huu. Akizungumza na waandishi wa habari jana,Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),…
Msonde:Ukishindwa kusimamia kusoma, kuandika na kuhesabu jitathmini
Na Asila Twaha,JamhuriMedia,TAMISEMI Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu Dkt. Charles Msonde amewataka viongozi wanaosimamia elimu katika Mamlaka za Mikoa na Serikali za Mitaa kujitathmini katika ufuatiliaji wa mwenendo wa elimu…
Rais Mstaafu Karume awakumbusha wafanyabiashara kutoa risiti za kielektroniki
Na Rahma Khamis Maelezo Zanzibar Rais Mstaafu wa Awamu ya Sita Dkt. Amani Abeid Karume amewataka wafanyabiashara kutoa risiti za kielektroniki na wanunuzi kudai risiti li kwenda na mabadiliko ya teknolojia. Dkt. Karume ametoa wito huo katika Uwanja wa Maisara wakati akifungua tamasha la tisa la…