Category: Habari Mpya
INEC yawataka watendaji wa uboreshaji Daftari la Kudumu la Mpiga Kura kutunza vifaa
Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Kigoma Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetaka watendaji wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Mkoani Kigoma kuhakikisha wanatunza vifaa vya uandikishaji ili vikaweze kutumika maeneo mengine nchini. Hayo yamesemwa na…
Wazazi watakiwa kusimamia malezi bora kwa vijana kundi rika na watoto
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Sal Wazazi , viongozi wa dini na wale wa kimila pamoja na wadau mbalimbali nchini wametakiwa ,kusimamia malezi ya vijana na watoto wa wa kike na kiume ili waweze kuwa na maadili bora ….
Mangungu ateua mjumbe wa bodi ya wakurugenzi
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu amemteua, Dr. Kailima Ramadhani Kombwey kuwa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Sports Club Company Limited. Taarifa ya Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo imebainisha kuwa Dkt. Kailima ataungana…
Maandalizi Maonesho ya Sabasaba yafikia asilimia 79
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) imesema maandalizi ya maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (DITF) maarufu kama ‘Sabasaba’ yamekamilika kwa asilimia 79. Aidha imesema kuwa maonesho ya mwaka huu yatakuwa…
Serikali yataja mikakati ulinzi na usalama kwa wenye ualbino
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametangaza mikakati ya serikali bungeni inayolenga kuimarisha ulinzi na usalama wa makundi ya watu wenye ulemavu na ualbino nchini. Akitoa tamko la serikali leo Juni 20, ikiwa ni siku chache tangu mtoto mwenye ualbino auawe kikatili…