Category: Habari Mpya
Elimu njia sahihi ya kupunguza tatizo la sumukuvu nchini
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Imeelezwa kuwa tatizo la Sumukuvu nchini Tanzania linachangiwa na ukosefu wa elimu kuanzia uzalishaji wa chakula na kusababisha madhara ya ugonjwa wa saratani na ini. Hayo yamebainishwa leo Januari 9,2023 mkoani Dodoma na Mkurugenzi wa Idara ya…
Waziri Mabula aagiza kunyang’anywa kwa viwanja visivyoendelezwa
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula ameziagiza mamlaka za Kupanga, Kupima na Kumilikisha ardhi nchini kuyatambua maeneo au viwanja ambavyo havijaendelezwa katika maeneo ya mijini yatambuliwe na kunyanganya milki zake ili zigawiwe kwa wengine wenye…
Waziri Jafo awahimiza Watanzania kutunza mazingira
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametoa wito kwa Watanzania kutunza mazingira na kudumisha amani. Ametoa wito huo leo Januari 08, 2023 wakati akizindua vyumba vya madarasa 12 na ujenzi wa…
Ajali yaua saba na kujeruhi kumi Bagamoyo
Watu saba wamefariki dunia na wengine kumi kujeruhiwa katika ajali ya gari ya abiria aina ya Coster iliyogongana uso kwa uso na gari ya mizigo aina ya Canter maeneo ya kiwangwa Bagamoyo leo asubuhi Januari 9, 2023. Mmoja wa majeruhi…
Rais Samia aliahidi, umma wasubiri MSA 2016 kufumuliwa
Na Stella Aron,JamhuriMedia DHAMIRA njema inayooneshwa wazi Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ni wazi kuwa itafanikisha kiu ya mchakato wa mabadiliko ya sheria ya huduma za habari nchini. Hatua hiyo inatokana na wasaidizi wa…