JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Bei za vyakula kuanza kupungua mwezi Machi

Hatimaye Serikali imesema bei ya vyakula itashuka kuanzia Machi ili kuwarahisishia wananchi gharama za maisha. Hayo yamebainisha na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe wakati akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Januari 10, mkoani Dodoma. Bashe amesema kuwa Serikali…

Serikali yaagiza elimu ya kutosha kuhusu bima ya afya itolewe kwa wote

Na. WAF – Dodoma Serikali imeagiza kutolewa kwa elimu ya bima ya afya kwa wote kuelekea kipindi hiki cha kusomwa tena Bungeni kwa Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote. Hayo yameelezwa leo na Katibu Mkuu, Wizara ya Afya Prof….

Bashe:Ifikapo 2025 Serikali haitaagiza sukari nje ya nchi

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ifikapo 2025 Serikali haitaagiza sukari nje ya nchi kwani kutakuwa na uzalishaji wa kutosha ndani ya nchi. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari jijini Dodoma leo Januari 10, 2023, Waziri Bashe amesema lengo la…

Uingereza yaipatia Tanzania vifaa vya kujikinga na magonjwa ya mlipuko kwa wahudumu wa afya

Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa vifaa vya kujikinga na magonjwa ya mlipuko kwa ajili ya watumishi wanaotoa huduma za afya na wateja wanaowahudumia,kutoka serikali ya Uingereza. Makabidhiano ya vifaa hivyo yamefanyika Bohari ya Dawa (MSD) Keko Dar es Salaam,ambapo…

Polisi Arusha waonywa kutoshabikia vyama vya siasa

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha watakiwa kutojihusisha na ushabiki wa vyama vya siasa. Hayo yamesemwa leo Januri 9, 2023 na Kamanda wa Polisi Kikosi cha Kuzuia wizi wa mifugo nchini…