JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Soko la samaki Feri Dar lakabiliwa na mrundikano wa wafanyabiashara

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Soko la Kimataifa la Samaki Feri lililoko Kivukoni jijini Dar es Salaam linakabiliwa na changamoto ya kuwa na idadi kubwa ya wafanyabiashara zaidi ya 3000 huku uwezo wake halisia ni kuwa na uwezo wa kuhudumia wafanyabiashara wapatao…

Maagizo ya Rais Samia kuimarisha uchumi yanavyotekelezwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Tanzania imejipanga kuchukua hatua katika kuhakikisha uchumi wake unaendelea kukukua pamoja na kusimamia urekebishwaji wa baadhi ya sera. Hayo katika mafunzo maalumu kwa wahariri wa vyombo mbalimbali kuhusiana na mwenendo wa uchumi wa dunia na namna…

‘Kukiwa na demokrasia vyombo vya habari vitakuwa huru’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema, uhuru wa vyombo vya Habari hukuza demokrasia Nchini Ametoa kauli hiyo akizungumza na baadhi ya waandishi leo Januari 16,2023, jijini Dar es Salaam. Amesema…

Mjema asisitiza kazi kubwa ni kuelezea uzuri wa CCM

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Idara ya Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Edward Mjema amewasili Ofisini kwake Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam leo Jumatatu Januari 16, 2023. Mjema akizungumza…

Makaa ya mawe yazidi kuing’arisha sekta ya madini

Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amesema kuwa uchimbaji wa makaa ya mawe hususan katika mkoa wa Ruvuma umeendelea kuipaisha Sekta ya Madini kutokana na wawekezaji wengi kuendelea kujitokeza yakiwa ni matokeo ya mazingira mazuri ya uwekezaji…

Rais awapongeza vijana wa kitanzania kwa kupata medali ya fedha

Rais Dkt. Samia Suluhu Hssan amewapongeza vijana wa Kitanzania walioibuka washindi wa pili na kupata medali ya fedha katika mashindano ya kwanza ya Global Robotics Challenge yaliyofanyika Geneva Uswisi na kushirikisha mataifa zaidi ya 190.  Amefarijika kusikia kuwa roboti iliyoundwa…