Category: Habari Mpya
Makamba:Serikali kuboresha maghala ya kuhifadhi mafuta
Na Godfrey Mwemezi,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Nishati,January Makamba amesema kuwa serikali inaendelea na jitihada mbalimbali za kupata wawekezaji watakaojenga Ghala kuu la kupokelea mafuta kwa pamoja ili kuwezesha nchi kuwa na uhakika zaidi wa upatikanaji wa mafuta. Makamba ameyasema hayo tarehe…
Biteko: Ushirikiano Tanzania,Canada katika sekta ya madini umeendelea kuimarika
Waziri wa Madini Dkt.Doto Biteko amesema ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Canada katika sekta ya Madini umeendelea kuimarika hususan katika masuala ya utafiti wa madini. Dkt.Biteko ameyabainisha hayo leo Junuari 19, 2023 mara baada ya kukutana na kufanya mazungumzo…
Serikali yawasaidia wafugaji walioathirika na mabadiliko tabia nchi
Serikali imetoa agizo kwa wafugaji wote nchini kupeleka mifugo yao katika majosho ya serikali yaliyojengwa katika maeneo mbalimbali nchini huku lengo kuu likiwa kuzisaidia jamii zilizoathirika na mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo mikoa ya Dodoma,Singida huku ikiwaasa kutunza mazingira ili…
Kinana ateta na aliyekuwa mchumi mkuu wa DFID
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Prof. Stefan Dercon, Aliyekuwa Mchumi Mkuu wa DFID (UK Department for International Development) na Mshauri wa Waziri wa mambo ya nje wa…
Wadau wa habari wasubiri kusikia jambo bungeni
Wadau wa habari wana shauku kubwa ya kusikiliza muswada wa sheria ya habari ukisomwa kwa mara ya kwanza katika Bunge la Januari hii. Akizungumza leo Januari 19,2023 jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),Deodatus Balile, amesemamwelekeo…