Category: Habari Mpya
Serikali kuzifungia laini milioni 2 za simu
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imetangaza kuzifunga laini za simu zaidi ya milioni mbili ambazo hazijahakikiwa licha ya Serikali kuhimiza wananchi kuhakiki laini zao. Hayo yamebainishwa leo Januari 24,2023 na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye wakati…
Serikali kufuatilia utekelezaji wa gawio SMZ
Ofisi ya Makamu wa Rais imepanga kufanya ufuatiliaji wa gawio kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) pamoja utekelezaji wa Taasisi za Muungano katika kipindi cha Januari 2023 hadi Juni 2023. Pia amesema Ofisi imepanga kutoa semina kuhusu usimamizi wa fedha…
Dkt.Kikwete:Huduma ya afya ya uzazi ipo ndani ya moyo wangu
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema huduma za Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto ni suala ambalo lipo ndani ya moyo wake na ataendelea kutoa mchango kwa Serikali na wananchi kwa ujumla. Dkt. Kikwete ameyasema…
Makatibu wakuu wastaafu wapongeza kasi ya mradi wa umeme JNHPP
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Rufiji Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu wastaafu waliowahi kuhudumu katika Wizara ya Nishati kwa nyakati tofauti wakiongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Mhandisi Zena Ahmed Said…
Bima ya afya kwa wote kuanza kutumika Julai mwaka huu
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imepanga kuboresha huduma za afya ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa bima ya afya kwa wote inawafikia Watanzania wote. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu wakati akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari mbalimbali…
Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Januari 23, 2023.