Category: Habari Mpya
Breaking News;Rais Samia atengua wakurugenzi, DC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua nafasi mbalimbali za viongozi wakiwemo nwakurugenzi na wakuu wa wilaya. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Januari 24,2023 Ikulu na kusainiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikuku, Zuhura…
Polisi wakamata samaki waliovuliwa kwa baruti Dar
Jeshi la Polisi Kikosi cha Wanamaji mkoa wa Dar es Salaam linawashikilia watuhumiwa wawili kwa tuhuma za kukutwa na samaki KG 980 ambazo zilivuliwa ndani ya ndani ya boti yenye usajili wa namba Z.103585 jina MV MAEDRA. Kwa mujibu wa…
Wiki ya sheria;Msajili Mkuu ahimiza suala la usuluhishi
Na Mary Gwera, Mahakama-Dodoma Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania,Wilbert Chuma ametembelea mabanda ya Maonesho ya Wiki ya Sheria yanayofanyika kitaifa katika Viwanja vya Nyerere ‘Square’ jijini Dodoma huku akitoa rai kwa wananchi kutembelea maonesho hayo ili kupata elimu ya…
Makaa ya mawe yaongeza mapato Bandari ya Mtwara
Kaimu Meneja wa Bandari ya Mtwara, Mhandisi Nobert Kalembwe amesema kuwa usafirishaji wa makaa ya mawe kwenda nje ya nchi kupitia bandari hiyo umeongeza mapato kwenye bandari hiyo sambamba na kuongezeka kwa kampuni za usafirishaji wa makaa ya mawe kwenda…
Waishukuru Serikali kuwapelekea huduma ya matibabu ya moyo Z’bar
Na Mwandishi Maalum – Zanzibar Wakazi wa Zanzibar wameishukuru Serikali kwa kuwapelekea huduma ya upimaji na matibabu ya moyo kwa watoto na watu wazima inayotolewa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja iliyopo visiwani humo. Huduma hiyo inatolewa bila malipo katika kambi…
Bunge: Serikali itafutie ufumbuzi changamoto ya kelele
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo imetoa wito kwa Serikali kutafutia ufumbuzi changamoto ya kelele ambayo imekuwa kero kwa wananchi katika maeneo mbalimbali nchini. Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Ndogo Kilumbe Ng’enda wakati wa kikao…