Category: Habari Mpya
Tanzania yafaidika na miradi ya kupambana na hali ya jangwa
Katika kukabiliana na changamoto ya ukame, Tanzania imefaidika na miradi ya kuhamasisha matumizi endelevu ya ardhi hivyo kupunguza kuenea kwa hali ya jangwa na ukame na athari zake. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira)…
Rais Samia ateua Ma DC wapya 37 na kuhamisha wengine 48
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao.Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140,…
Wananchi wa Mugango-Kyabakari-Butiama kupata maji Juni mwaka huu.
Na Jovina Massano, Msoma. Mradi wa maji ya Ziwa Victoria ulioanzishwa na Hayati baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere mwaka 1974 kutokea Musoma vijijini kuelekea wilayani Butiama mkoani Mara wafikia asilimia 73 . Mara baada ya kukamilika kwa Mradi…
Waziri Gwajima ateta na uongozi wa NMB
Benki ya NMB imepata nafasi ya kutembelewa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum – Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam. Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Ruth…