JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

NMB yaandika historia mpya ya faida,yatenga bil.6.2/-kusaidia jamii

Benki ya NMB imeendelea kuboresha rekodi yake ya kutengeneza faida baada ya mwaka jana kuongeza kwa kiasi kikubwa pato hilo na kuweza kutenga TZS bilioni 6.2 kwa ajili ya uwekezaji katika miradi yenye tija kijamii. Kiasi hicho kikubwa kuwahi kutumika…

REA yaeleza hatua iliyofikiwa utekelezaji miradi ya umeme vijijini

Na Veronica Simba,JamhuriMedia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeeleza hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini inayoendelea nchi nzima. Taarifa ya utekelezaji wa miradi hiyo hadi kufikia sasa, iliwasilishwa na Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi kutoka REA Mhandisi…

Tanzania yafaidika na miradi ya kupambana na hali ya jangwa

Katika kukabiliana na changamoto ya ukame, Tanzania imefaidika na miradi ya kuhamasisha matumizi endelevu ya ardhi hivyo kupunguza kuenea kwa hali ya jangwa na ukame na athari zake. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira)…

Simbachawene: Vitendo vya ukatili vinarudisha nyuma jitihada za Serikali

Serikali yahimiza jamii kuanzia ngazi ya familia kuimarisha mfumo wa ushughulikiaji wa matukio ya ukatili dhidi ya watoto ndani na nje ya shule unaowajumuisha wasimamizi wa shule, wazazi, walezi na jamii kwa lengo kuendelea kutokomeza matukio ya ukatili nchini. Kauli…

Waziri Kikwete awapa kibarua wataalamu mipango miji

Na Anthony Ishengoma,JamhuriMedia,Dodoma Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwan Kikwete amewataka Wataalam wa Mipango miji kutambua kuwa zoezi la utwaaji ardhi ni la ushirikishwaji tofauti na baadhi ya wataalam wanavyofanya bila kushirikisha wananchi. Ameongeza kuwa vitendo hivi…