Category: Habari Mpya
TANESCO Dodoma yaweka wazi mafanikio yake
Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),Mkoa wa Dodoma Mhandisi Donasiano Shamba ameelezea mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita kupitia Shirika la Umeme mkoa wa Dodoma haswa upande wa Utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini REA awamu ya tatu…
Operesheni yawakamata wazazi 763 Tunduru, 600 wajisalimisha Polisi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tunduru Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imeendesha operesheni maalumu ya nyumba kwa nyumba ya kuwasaka wazazi wasiopeleka watoto shule licha ya kuchaguliwa kuingia kidato cha kwanza mwaka huu. Akizungumzia operesheni hiyo mkuu wa wilaya hiyo Julius Mtatiro, amesema…
Maganya aiasa Jumuiya ya Wazazi kuibua miradi mipya
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Fadhil Maganya ametoa rai kwa wanachama na viongozi wa Jumuiya hiyo kuhamasika kuanza kujenga ofisi za kisasa kwa ngazi zote ili kuimarisha Jumuiya. Aidha amewaasa kuhakikisha wanabuni vyanzo vya kiuchumi, miradi ya…
RC Dodoma ashauri kufuatilia nyenendo za wafungwa wanapomaliza vifungo
Na Mary Gwera,Mahakama,Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Rosemary Senyamule ametoa ushauri kwa Jeshi la Magereza nchini kuona namna bora ya kufuatilia nyenendo za wafungwa pindi wamalizapo muda wa vifungo vyao kwa kushirikiana na Halmashauri kupitia Maafisa Ustawi wa Jamii ili…
Zima Moto Ilala yajipanga kukabiliana na majanga ya moto
Na Mussa Augustine Jeshi la zimamoto na Uokoaji Mkoa wa zima Moto Ilala limeishauri Halmashauri ya Jiji la Ilala kuhakikisha inatenga Miundombinu ya barabara ili kuweza kurahisisha kufika kwenye eneo ambapo ajali ya Moto ilipotokea na kuweza kuudhiti. Pia limesema…
NHC yatoa saruji mifuko 75 kusaidia ujenzi wa hosteli Singida
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limetoa mifuko 75 ya saruji yenye thamani ya Sh. Milioni 1.5 kwa ajili ya ujenzi wa hosteli ya wasichana katika Sekondari ya Kintinku iliyopo wilayani Manyoni mkoani Singida. Akizungumza wakati akikabidhi saruji hiyo kwa…