Category: Habari Mpya
Serikali yaongoza mazishi ya aliyeshiriki tukio la kuchanganya udongo
Serikali imesema itaendelea kuuthamini na kuuenzi mchango wa wazee walioshiriki katika tukio la kihistoria la kuchanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis wakati akitoa…
Mawasiliano ya barabara Dar – Lindi kurejea leo, Somanga sasa panapitika – Bashungwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa anaendelea kuisimamia timu ya wataalam na Makandarasi kurejesha mawasiliano ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam ambapo tayari eneo la somanga limeanza kupitika na amesisitiza kuwa ifikapo kesho leo…
Dk Ndungulule kugombea nafasi ya ukurugenzi WHO Ukanda wa Afrika
Na Magrethy Katengu JamuhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemteua aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Afya Dkt Faustine Ndugulile kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika kwenda kuiwakilisha nchi…
Mwenyekiti Taifa ACt – Wazalendo akamilisha ziara yake Kigoma
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha @ACTwazalendo, Othmasoud Masoud leo Mei 08, 2024, amekamilisha ziara yake katika Mkoa wa Kigoma, ambayo imejumuisha Harakati za Kisiasa na Kijamii ikiwemo Ujenzi wa Chama. Akiagana na Wanachama na Wananchi wa Mkoa huo kuelekea…
Serikali kujenga kituo cha kupoza umeme na Switching Station Songwe – Kapinga
📌 Lengo ni kuimarisha upatikanaji umeme mkoani Songwe 📌 Uboreshaji wa miundombinu ya umeme unaendelea Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme itakayoboresha upatikanaji umeme mkoani Songwe ikiwemo ujenzi wa…