JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Tanzania mwenyeji mkutano wa 77 kamisheni ya Umoja wa Afrika wa haki za binadamu

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi lililotolewa na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu Prof. Remy Ngoy Lumbu la kuitaka nchi ya Tanzania kuwa mwenyeji wa…

Kunenga: Msiwe chanzo cha vikwazo na kukwamisha maendeleo

Na Mwamvua Mwinyi,Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, alhaj Abubakari Kunenge,amewaasa wakuu wa wilaya wasiwe chanzo cha vikwazo, kukwamisha jitihada za Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan,bali wakawatumikie na kuwahudumia wananchi. Aidha wameaswa kwenda kufanya kazi kwa karibu pamoja na kamati za…

WETCU wapitisha bajeti ya maendeleo ya Bil. 1.83/-

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Kikuu cha Ushirika wa Wakulima wa Tumbaku Mkoani Tabora (WETCU 2018 LTD) wamepitisha mapendekezo ya bajeti ya mapato na matumizi ya sh bil 1.833 kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Akiwasilisha bajeti hiyo kwa niaba…

Mifugo 2,225 yakamatwa ikisafirishwa bila kibali

Jeshi la Polisi Nchini kupitia kikosi cha Kuzua na kupambana na Wizi wa Mifugo (STPU) katika operesheni mbalimbali wamefanikiwa kukamata jumla ya mifugo 2,225 ambayo ilikua inasafirishwa bila kufuata utaratibu ambapo mifugo hiyo iliingizwa katika mapori tengefu pamoja na vyanzo…