JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Majaliwa: Serikali itaendelea kusimamia weledi kwa watumishi wa umma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kusimamia weledi, kanuni na taratibu zilizowekwa kwenye kila sekta ya utumishi wa umma. Aidha, pale patakapojitokeza uvunjifu wa maadili na miiko iliyowekwa, hatua…

Mhoja ataka vyama vya ushirika kusimamiwa kikamilifu

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Songea MRAJIS msaidizi wa vyama vya ushirika Mkoa wa Ruvuma,Peja Mhoja amewataka mameneja wa vyama vya msingi na vyama vikuu vya ushirika, kutumia mfumo wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (MUVU )mfumo ambao utakwenda kurahisisha zoezi la upatikanaji…

Jaji Mkuu:Usuluhishi unachochea uchumi, amani

Na Mary Gwera,Mahakama-Dodoma Jaji Mkuu wa Tanzania,Prof. Ibrahim Hamis Juma ametoa rai kwa umma kujielekeza zaidi kwenye utatuzi wa migogoro mbalimbali kwa njia ya Usuluhishi ili kukuza uchumi, kuokoa muda na hatimaye kupunguza mlundikano wa mashauri mahakamani. Akizungumza wakati wa…

MO aendelea kuburuza Afrika mashariki na Kati

Mfanyabiashra Mohamed Dewji ‘Mo’ ameendelea kung’ang’ania kwenye orodha ya matajiri Barani Afrika iliyotolewa na Jarida maarufu la Forbes, ambapo ameshika nafasi ya 13 huku maarufu Aliko Dangote akishika nafasi ya kwanza. Katika orodha hiyo iliyotolewa na jarida la Forbes linalofuatilia…