Category: Habari Mpya
Serikali yalipa mil.40/- za kifuta jasho Kondoa Mjini
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imelipa kiasi cha shilingi milioni 40 ikiwa ni kifuta jasho/machozi kwa wananchi 198 wa Vijiji vya Chemchem, Tungufu, Tampori, Mulua na Iyoli wilayani Kondoa kutokana na kupata madhara yaliyosababishwa na wanyamapori. Hayo yamesemwa…
Majaliwa:Tanzania imepunguza maambukizi mapya ya VVU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania imefanikiwa kupunguza maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi kwa asilimia 58 kutoka 130,000 mwaka 2003 hadi 54,000 mwaka 2021 kupitia Mfuko wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na (PEPFAR). Amesema kuwa…
Polisi Pwani wamdaka aliyeua na kutoroka akutwa na shortgun
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani katika misako iliyofanya kwa kipindi cha mwezi mmoja wamefanikiwa kumkamata mtu mmoja( miaka 53) mwanaume, mkulima mkazi wa kijiji cha Ruvu stesheni,ambae anadaiwa kufanya mauaji, wilayani Kisarawe kisha kutorokea katika kijiji…
Mufti atengua uteuzi wa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam
Baraza la Ulamaa katlika kikao chake ilichofanyika tarehe O1 na 2 Februari jjini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wake Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dr. Abubakar Zubeir bin Ally LIMETENGUA uteuzi wa Sheikh Alhad Mussa Salum kama Sheikh…
Ahukumiwa jela maisha kwa kosa la ulawiti
Kijana wa miaka (19) Juma Mussa Mkazi wa mtaa wa Uzunguni kata ya Malolo katika Manispaa ya Tabora amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume wa miaka mitano (5) . Akitoa hujumu hiyo Hakimu…
Majaliwa: Serikali itaendelea kusimamia weledi kwa watumishi wa umma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kusimamia weledi, kanuni na taratibu zilizowekwa kwenye kila sekta ya utumishi wa umma. Aidha, pale patakapojitokeza uvunjifu wa maadili na miiko iliyowekwa, hatua…